Tuesday, October 4, 2016

SAMAKI WA NYASA ....CHAKULA AKIPENDACHO KAPULYA WENU:-)

Hawa ni samaki walionikuza mimi ....wanaitwa "magege" ni watamu sana. Nimekumbuka sana nyasa na hiki chakula

2 comments:

ray njau said...

HAKIKA UMEKUMBUKA KITU CHEMA SANA.

Yasinta Ngonyani said...

Yaani ni chema mno na hakitafutika maishani mwangu kamwe