Thursday, July 21, 2016

KARIBUNI TUJUMUIKE CHAKULA NI CHAGUO LAKO.....

 Ugali wa mahindi na maharage
 Ugali, samaki wa kuoka na mchicha
au ndizi
Binafsi nachagua chakula hicho cha katikakati si mnajua mimi ni mnyasa/mngoni:-)

4 comments:

Anonymous said...

Gwali panani pala, gengi haga hindu kwa waka.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Huo msosi wa kwanza unamfaa Magufuli.Huo wa pili umepatia kwa sababu kuna samaki. Ila huyo uliyomundalia kama hatakufa hatakutembelea tena. Umenikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja asemaye kuwa kwanini kutumia sumu kumuua mtu wakati unaweza kutumia asali?

Yasinta Ngonyani said...

Mlongo wa neno wangali lihina...ka kweli unikumbwisi mweeh!

Kaka Mhango nilijua tu utasema hayo...lakini aulizaye anataka kujua nakuu "Umenikumbusha msemo wa rafiki yangu mmoja asemaye kuwa kwanini kutumia sumu kumuua mtu wakati unaweza kutumia asali?" mwisho wa nukuu.... maana yake nini?

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Maana yake ni kwamba huo msosi unaweza kuua kwa ukubwa wake. Hivyo, kama unaweza kumuua adui kwa ukarimu ni bora kuliko sumu kwani hutafunguliwa mashtaka.