Friday, February 5, 2016

CHAGUA LA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII NI PICHA YA WIKI...

Ama kweli  haya ndio maisha yetu wengi wetu...tutafika kweli? Najiuliza  itabidi ninunue gari mpya kila kukicha kwa mtindo huu...kaaaazi kwelikweliii!  mizigo michache ndio msingo harakahara haina baraka !

2 comments:

Anonymous said...

Du! Hatari kweli kweli. Hasa kwenye kona na mwendo mkali lazima lilale tuu. Maana hamna namna... By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! Yaani sio hatari kidogo ni hatari sana na pia ni hasara na gharama maana itabidi anunue gari kila wiki kwa mtindo huo!