Sunday, June 7, 2015

NI JUMAPILI YA KWANZA KWA MWEZI HUU NA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMEONA TUTEMBELEE PAROKIA YA BOMBAMBILI JIMBO LA SONGEA

NEEMA, UPENDO NA FURAHA VITAWALE NDANI YA NYUMBA ZETU NA PIA KATIKA MIOYO YETU. AMINA!!

4 comments:

Mbele said...

Dada Yasnta,
Shukrani kwa kumbukumbu hii. Nimewahi kusali katika kanisa hili, kanisa kuu la jimbo la Katoliki la Songea, miaka iliyopita. Nimewahi kupiga picha ya mwonekano wake wa mbele, ambao unaonekana pia katika hii video. Umenifanya nijisikie niko Songea. Kila la heri.

Yasinta Ngonyani said...

Nami pia leo nimejisikia nipo Songea kabisa. Ndani ya nafsi yangu ni raha tu. Nimefurahi kama umejisikia hivyo. Kristu ni tumaini letu. Amina.