Friday, October 10, 2014

UKIPATA MUDA SIKILIZA ZIARA HII YA RAISI KIKWETE ...NYASA


NAWATAKIENI IJUMAA NJEMA SANA!

3 comments:

Anonymous said...

Safi sana. Lakini wanatakiwa kuongeza kasi ya maendeleo tuje kuipiku Africa Kusini. By Salumu.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta umamuamini huyu msanii ambaye punde tu atafungasha virago na kutokomea?

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu..tuomve Mungu iwe hivyo.
Prof. Mhango ...wote wanafungasha na kutokomea